Home » Horror, » Jozani


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Jozani

Stock:
Our Price: $10.00 $8.00
You save: $2.00! (20%)
Genre: Horror/


SKU: |
I |
Year - 2009

Ni vijana waliotoka jijini Dar es salaam na kwenda Zanzibar kutaalii. Wakiwa katika safari yao hiyo ndipo walipoamua kutembelea ndani ya msitu wa Jozani. hakujawahi kutokea vitu vya ajabu hata mara moja ndani ya msitu huo,, lakini mmoja kati yao anaogopa kuingia msituni humo akidhani…

More >
 
 

Ni vijana waliotoka jijini Dar es salaam na kwenda Zanzibar kutaalii. Wakiwa katika safari yao hiyo ndipo walipoamua kutembelea ndani ya msitu wa Jozani. hakujawahi kutokea vitu vya ajabu hata mara moja ndani ya msitu huo,, lakini mmoja kati yao anaogopa kuingia msituni humo akidhani labda kunavveza kukawa na viumbe vya ajabu. hakika kwa ukubwa wa msitu huo vitu kama hivyo huwezekana. woga uliwatan-da mioyoni mwao na kuamua kuhairisha safari yao hiyo. Unajua iliku-waje? mimi na wewe hatujui hivyo tuwe pamoja katika kufuatilia mkasa huu wa kusisimua ili tujue hatma ya vijana hao ndani ya
msitu wa jozani

Casts: Zuberi Mohammed, Jackline wolper, Jennifer Kyaka, Charles Magari, Anicet Renatus, Lulu J. Mwammenywa, Salama Hassan, Mobby Mpangala, Makame J. Bajomba, Isambain, Issa John

Director Farid Wezi, Story Zubery Mohamed (Niva), Cameraman Farid Wezi, Producr Makame J. Bajomba, Editor Farid Wezi

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More