Home » Drama, Romance, » Kwa Heshima Ya Penzi
Kwa Heshima Ya Penzi
Msichana mrembo mirada, anajikuta katika wakati mgumu, ndoto yake ya kuolewa na mwanaume anayependa failia mchapa kazi na mstaarabu. Tabia ambazo Dominic anazo, lakini anajikuta
akichanganyikiwa na ucheshi wa kupita kiasi kutoka kwa Bernad ambaye hana hata chembe ya ustaarabu anachanganyikiwa amfuate Bernard ambaye hachoshi kuwa nae, au amfuate mwenye sifa
azitakazo? ama kweli mapenzi ni hisia zinazoumiza lakini hazichoshi
Casts: Single Mtambalike, Yvonne Sherry, Jacob Stephen, Rose Ndauka, Elizabeth Chijumba, Christine Madubu, Hashim Kambi, Rose Thomas, Rhoda Furahisha, Irice Haule,
Wananchi Wote Co. Ltd. wakishikiana na Jerusalem Film Company, Single Mtambalike, Jacob Stepehn, Yvone Cherry, Mtayarishaji Farhad Mohamed, Muongozaji Single Mtambalike, Story Jacob Stephen, Mpiga picha Juma Seleman
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|