Home » Drama, Musical, » Mwanzo Mpya
Kutamani na kutoa ni rahisi. Ni kttu ambacho kila mtu anafanya anafanya anapowaza namna ya kufuta mabaya yote yanayomzungufu, mapungufu yote yanayomkwanza, yasiomema yote tunayoishi nayo na hata mazuri lakini yasiyokuwa na heshima kwa jamii tunayoishi. Vijana wanna wa kitanzania…
wenye madaraja tofauti ya maisha, elimu tofauti, na misimamo tofauti, wote kwa wakati mmoja wanaona nafasi ya kutimiza ndoto zao na kupata Mwanzo mpya wa maisha yao kupitia sana yao waipendayo ya ‘dancing’. Kupitia daraja lenye vishawishi vya tamaa, mapenzi, ushirikina, Ukimwi, usaliti, uonevu, kila mmoja anajaribu kufika mwisho wa safari lakini wakati huo huo Mwanzo mpya wa safari nyingine.
Mwanzo Mpya, filamu ya Kitanzania, yenye mtazamo mpya na sura mpya!
Casts: Islam Awadhi, Banana Zorro (Judge), Kauye Doto, Steven Joseph, Msami Giovan, Mombek Geitano, Saidi Christopher, Athuman Rushuma, Damaris Rushuma, Rehema Ramadhani, Bakari Tembo, Khadija Rashid, Hamis Said, Naima Abdul, Mwajabu Hemedy, Rumuriko, H. Baba (Judge), Koku (Judge)
ZG Films presents Mwanzo Mpya, The New Beginning, Producer Tito Thomas, Editor Nick D. Rusule, Director X, Executive Producer ZM
- Banana Zorro |
- H Baba |
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|