Home » Drama, Family, » Neria


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Neria

Stock:
Our Price: $7.00
Genre: Drama/Family/


SKU: |
DVD I |
Year - 1993

Kupitia jitihada na ushiriano mkubwa, Neria ni mume wake Patrick, wanajitengenezea maisha waliokuwa wakiyataka siku zote, lakini Patrick anapofariki katika ajali ya gari, maisha ya Neria yanageukia ghafla na kuwa mateso. Wakati Neria anaomboleza kifo cha mume wake kijijini, shemeji…

More >
 
 

Kupitia jitihada na ushiriano mkubwa, Neria ni mume wake Patrick, wanajitengenezea maisha waliokuwa wakiyataka siku zote, lakini Patrick anapofariki katika ajali ya gari, maisha ya Neria yanageukia ghafla na kuwa mateso. Wakati Neria anaomboleza kifo cha mume wake kijijini, shemeji yake, Phineas, yuko mjini akishughulikia kumnyanganya mali zake zote. Phineas andai kuwa mila za kiafrika zinampa haki ya kurithi mali zote za kaka yake marehemu, Neria anashuku lengo halisi la shemeji yake, lakini Phineas anapowateka watoto wake, ndipo Neria anaamua kumpiga vita.

Hii ni filamu ya kiafrika ambayo imeguza watu wengi barani, na inayoshirikisha nyimbo za mwanamusziki mahiri kutoka Zimbabwe, Oliver Mtukuzi.

Filamu hii imeshinda tuzo 10 za kimataifa, zikiwemo tuzo ya OAU Carthage (Egypt) mwaka 1991 na tuzo za MNET nchini Afrika Kusini za Muigizaji Bora wa kike na filamu bora mwaka 1992

Neria is a Zimbabwean film made in 1993, written by the novelist Tsitsi Dangarembga. It is directed by Goodwin Mawuru and the screenplay was written by Louise Riber. It is the highest grossing film in Zimbabwean history. The film concerns the struggles of a woman in a rural town in Zimbabwe when she is widowed after her husband is killed in an accident.[1] The soundtrack of the film was sung by Oliver Mtukudzi.

Casts: Anthony Chinyanga (Mr. Chigwanzi), Dominic Kanaventi (Phineas), Claude Maredza (Mr. Machacha), Emmanuel Mbrirmi (Patrick), Jesese Mungoshi (Neria), Violet Ndlovu (Ambuya), Sharon Malujlo (Canadian Tourist)

Directed by Godwin Mawuru; Produced John Riber and Louise Riber, Written by Tsitsi Dangarembga (story), Louise Riber (screenplay), Starring Anthony Chinyanga, Dominic Kanaventi, Running time 103 min.
Country Zimbabwe, Language English / Swahili, Rating All Ages

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More