Home » Action, Drama, » Avenger, the
Unafika wakati unaweza kuhisi kuwa wewe pekeyako ndiye unayeishi maisha ya tabu kuliko wote hapa duniani, lakini maisha hayapo hivyo, kwa sababu, hakuna nayeishi bila ya kupita haya. Hauwezi kuwa shahidi wa maisha yako, lakini anayekuona kila ukitembea, unapokwenda na kurudi ndiye anayeshuhudia juu ya matendo yako hivyo anaweza kuwa shuhuda wa maisha yako
Cast: Jennifa Kyaka, Yusuph Mlela, Jacqueline Wolper, Haji Hadhi
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|