Home » Drama, » The Best Friend


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

The Best Friend

Stock:
Our Price: $8.00
Genre: Drama/


SKU: |
DVD I |
Year -

Hii ni mfululizo wa filamu zinazohusu maisha na muziki. Banana Zorro anaingia katika bifu na rafiki zake wawili D Knob na Jay Moe katika namna ambayo inaleta matatizo na wasiwasi mkubwa kwa ndugu na marafiki zao. Ni bifu za mapenzi na mambo ya ujana vitavyokuacha hoi huku ukibahatika…

More >
 
 

Hii ni mfululizo wa filamu zinazohusu maisha na muziki. Banana Zorro anaingia katika bifu na rafiki zake wawili D Knob na Jay Moe katika namna ambayo inaleta matatizo na wasiwasi mkubwa kwa ndugu na marafiki zao. Ni bifu za mapenzi na mambo ya ujana vitavyokuacha hoi huku ukibahatika kukutana na muziki wa nyimbo za bongo fleva. Nini mwisho wa ugomvi wa Banana na rafiki zake, mwisho wa mgogoro wa nyumbani baina yam zee Gurumo na mwanae.

Cast: Banana Zorro; Juma Mchopanga; Jaffary Alli; Mariam Mndeme; Helen Luanda; Iddi Salim; Witness Manwingi; Muhidin Ngurumo; Hadija Yarek; Killy Janga; Godfrey kilunga; Hussein Ramadhan & Haji Aziz.

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More