Home » Drama, » Umetuumiza


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Umetuumiza

Stock:
Our Price: $10.00 $8.00
You save: $2.00! (20%)
Genre: Drama/


SKU: |
DVD I, II |
Year -

Wala huchagui yeyote, huwaangamiza walio na hatia na wasio na hatia. Hebu ona mtoto mchanga anayezaliwa tu, jamani hata huruma na mapenzi ukimsaidia yule anaelia wakati anaangamia ukijichanganya na kosa kidogo unaangamizwa. Ona imekuwa ni silaha ya maangamizo kwa jamii. Bwana Maiko…

More >
 
 

Wala huchagui yeyote, huwaangamiza walio na hatia na wasio na hatia. Hebu ona mtoto mchanga anayezaliwa tu, jamani hata huruma na mapenzi ukimsaidia yule anaelia wakati anaangamia ukijichanganya na kosa kidogo unaangamizwa. Ona imekuwa ni silaha ya maangamizo kwa jamii. Bwana Maiko anajitahidi kumsaidia nduguye aliye katika mapambano ya Janga hilo. Je alifanikiwa kushinda? Na ni Janga gain hilo? Fuatilia ndani ya UMETUUMIZA.

Cast: Mahsen Awadh; Stelah Ernest; Salum Khamis; Amina Yahya & Michael Hoya.

KKT- DMP Presents “UMETUUMIZA” Produced by KKT DMP Ustawi wa Jamii

Story by- Mwamini C. Chuma; Directed by- Florian Lawrence; Assistant Director- Mahsein Awadh

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More