Home » Drama, Romance, » Vivian


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Vivian

Stock:
Our Price: $10.00 $8.00
You save: $2.00! (20%)
Genre: Drama/Romance/


SKU: |
DVD I, II |
Year - 2011

Vivian ni msichana mrembo aliyeishi na wazazi wake waliompenda. kwa bahati mbaya siku moja wakiwa safarini kurudi mjini wakitokea kijijini gari yao ilipata ajali mbaya wazazi wa Vivian wakafariki papo hapo! Vivian akanusurika lakini bahati mbaya akakatika mikono yote na kuishi…

More >
 
 

Vivian ni msichana mrembo aliyeishi na wazazi wake waliompenda. kwa bahati mbaya siku moja wakiwa safarini kurudi mjini wakitokea kijijini gari yao ilipata ajali mbaya wazazi wa Vivian wakafariki papo hapo! Vivian akanusurika lakini bahati mbaya akakatika mikono yote na kuishi mlemavu., wazazi wake walimwachia mali nyingi, baba yake mdogo toka kijijini alikuja kuishi nae lakini matokeo yake alimnyanyasa na kumfukuza kwenye nyumba ya marehemu wazazi wake na baadae huyo mzee ambaye in baba yake mdogo aliyetambulika kwa jina la Richmond alitangaza mirathi ya kurithu mali, Vivian alipinga lakini mahakama ilimnyima Vivian haki ya kurithi na kumpatia baba yake mdogo kwa njia za rushwa.

Cast: Wastara & Sajuki

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More