Grace Mapunda
Other Name/s: Grace Mapunda a.k.a Mama Kiwele
Actor
Mwigizaji mwenye hisia katika filamu za huzuni Swahiliwood Grace Mapunda ‘Mama Kawele’ amesema kuwa uigizaji wake wa aina hiyo hauingiliani kabisa na maisha yake binafsi ambayo amewahi kupitia bali ni kuzingatia maelezo na muswada wa filamu husika, na mara nyingi anakuwa makini katika kuwakilisha uhusika halisi japo anaonekana kuzipatia filamu za aina hiyo.
Msanii huyo mwenye familia ya watoto wawili ambao baba yao alifariki siku za nyuma anasema kuwa yeye pamoja na familia yake wote wamejikuta wakiwa katika wimbi la sanaa huku mwanaye Happiness akiigiza na kuimba, Happiness aliwahi kuigiza naye katika filamu ya Fake Smile, mwanaye mwingine anayeitwa Ritha yeye ni mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya.
Mama Kawele mmoja kati ya wasanii wakali katika tasnia ya filamu ambaye amejizolea umaarufu kutokana na kuigiza kwa hisia filamu nyingi zinazotawaliwa na matukio ya huzuni.
Filmography / Discography
- House of Death |
- Hard Price |
- Nirindiwe |
- Kichupa |
- Majuto |
- Mwaka wa Hasara |
- Chloroquine Love |
- Chungu ya Nafsi |
- Poor Minds |
- Jibu la Ndoto |
- Back to Life |
- Nifute Machozi |
- Five Girls |
- Msimamo Wangu |
- Family War |
- Planet of Love |
- Oxygen |
- Binti Yangu |
- House Maid |
- Damu ya Mjomba |
- My Life |
- Because of You |
- The Killers |
- The Image |
- More Than Pain |
- Hot Friday |
- Love is War |
- Thamani Yangu |
- Yellow Banana |