Home » Casts » Amri Athuman, King Majuto
Amri Athuman, King Majuto
Other Name/s: Amri Athuman a.k.a King Majuto
Actor | Commedian | Director | Film Writer | Producer
Amri Athuman’ King Majuto’ alizaliwa mwaka 1948 jijini Tanga na kusoma shule Msambwini, Tanga, alianza kuigiza 1958 akiwa na umri wa miaka 9 akiigiza katika majukwaa Mzee Majuto maarufu kama King Majato ni mtunzi, muigizaji,mwandishi wa mswada.
Na ndiye muigizaji wa kwanza kuandaa kazi zake katika mikanda na kuuza akiwa na Tanzania Film Company ( TFC) Kwa sasa King Majuto ni mwigizaji mwenye mashabiki wengi kutokana maonyesho mbalimbali, vichekesho vyake aliyoshiriki nchi mbalimbali.
Filmography / Discography
- Lolita |
- Sio Sawa |
- Mama Ntilie |
- Nahama |
- Gumzo |
- Mrithi Wangu |
- Rent House |
- Ndoa ya Utata |
- Daladala |
- Nimekuchoka |
- Mbegu |
- Zebra |
- Shikamoo Mzee |
- Tabia |
- Utani |
- Tikisa |
- Trouble Maker |
- Gundu |
- Kizungunguzu |
- Shoe Shine |
- Street Girl |
- Faithful |
- Mtego wa Panya |
- Boss |
- Back with Tears |
- Sikukuu ya Wajinga |
- Nyumba Nne |
- Chips Kuku |
- Kitu Bomba |
- Ndoto ya Tamaa |
- Lakuchumpa |
- ATM |
- Bishoo |
- Tupo Wangapi |
- Moto Bati |
- Varangati |
- Out Side |
- Pusi na Paku |
- Juu kwa Juu |
- Swagger |
- Oh Mama |
- Jazba |
- Mke wa Mtu Sumu |
- Mbugila |
- Kidumu |
- Mkali Mo |
- Mpela Mpela |
- Utanibeba |
- Babatan |
- Mjomba |
- Msela wa Manzese |
- Karaha |
- Mpango Sio Matumizi |
- Mume Bwege |
- Shuga Mammy |
- Embe Dodo |
- Nakwenda Kwa Mwanangu |
- Seaman |
- Naja Leo Naondoka Leo Tanga |
- Mgeni Njoo |
- Kuwadi |
- Kulipa Tabu |
- Uso wa Mbuzi |
- Machimbo |
- Fundi Feni |
- Mwizi wa Kuku |
- Mtu Mzima Hovyo |
- Wake Up |
- Vituko Show Vol. 10 |
- Bettery Low |
- Brothers |
- Alosto |
- Back from New York |
- Kipofu |
- Koziman Vol 21 |
- After Money |
- Talaka Yangu |
- Gereji |
- Welcome Back |
- Mshamba |
- Pedeshee |
- Waiter |
- Inye Plus |
- Inye Gwedegwede |
- Inye Vol.1 |