Home » Casts » Mohamed Mwikongi
Mohamed Mwikongi
Other Name/s: Mohamed Said Mwikongi a.k.a Frank
Date/s: 18 April 1979
Actor
Mohamed Said Mwikongi (amezaliwa tar. 18 Aprili, 1979) ni mwigizaji wa filamu, tamthilia, mwongozaji na mtayarishaji kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina la “Frank” aliloigiza kutoka katika tamthilia ya Tufani na baadhi ya filamu alizocheza. Mwikongi amepata kuonekana katika filamu ya Behind the Scene, Dear Mama, Sikitiko Langu, na Dangerous Desire. Huyu nae anatoka katika kundi la sanaa la Kaole Sanaa Group.
Filmography / Discography
- Njia Panda |
- Fiona |
- Zebra |
- Question Mark |
- Waiting Soul |
- Diply Dark |
- Ulimi |
- Kifo Chake Ndani ya Siku 21 |
- Msimamo Wangu |
- Real Promise |
- Mwisho wa Dharau |
- Siri Sirini |
- Swadakta |
- Precious |
- Mtihani |
- Because of Facebook |
- Ong’wana |
- Branch of Love |
- The Perfect Man |
- Stolen Gold |
- My Pastor |
- Girl Next Door |
- Chozi la Baba |
- Pretty Girl |
- Behind the Scene |
- Peremende |
- Baraka |
- Money Desire |
- New Page |
- Shakira |
- Endless Love |
- Wicked Love |
- Yolanda |
- Penina |
- Sikitiko Langu |