Jane's Journey

Home » Casts » Wellu Sengo


Wellu Sengo

Other Name/s: Wellu Sengo a.k.a Welu Sengo

Actor

Welu Sengo ni mwanadada mrembo, msanii wa bongo movies anayeibukia katika tasnia ya filamu hapa Tanzania, na ameonyesha uwezo wake katika uigizaji na katika filamu ya Matilda na ameanza kupata kazi mbalimbali na wasanii wazoefu kama vile Vincent Kigosi katika filamu mpya ya Twisted.

Wellu Sengo a.k.a Welu Sengo

Sengo tayari ameshafanya kazi na kampuni kubwa zinazohusika na utengenezaji wa filamu kama Game 1st Quality pamoja na RJ company, huku akiwa ameshiriki kazi kama ‘Matilda’, ‘I know U’, ‘Twisted’ na nyingine kibao zote akiwa amecheza kama muhusika mkuu.

Mwanadada huyo ambaye pia alikuwa mshindi wa pili katika shindano la Vaa, Imba cheza kama Rihanna, alidai kuwa anaamini kwenye mzigo huo ameonyesha kiwango cha kimataifa kwa lengo la kufika mbali zaidi katika tasnia hiyo.

Msanii wa filamu bongo Wellu Sengo, amesema kuwa baada ya kufanya vizuri kwenye kazi kadhaa sasa kung’arisha filamu mpya ya ‘Vagabond’ ambayo amedai itakuwa moto wa kuotea mbali. Filamu hiyo inatayarishwa na Producer Mussa Mziba chini ya kampuni ya Zest Production

Filmography / Discography


External Links

  • Facebook Page of Wellu Sengo
  • Twitter Page of Wellu Sengo
  • YouTube of Wellu Sengo
  • Website of Wellu Sengo
 

More Photos

 
 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More