Jane's Journey

Home » Casts » Omary Clayton


Omary Clayton

Other Name/s: Omary Clayton

Date/s: 08 December 1987

Actor | Director

Omary Clayton

Omary Clayton ni kijana anayeibukia katika tasnia ya bongo film na tayari ameshatayarisha films kama “HEKIMA” na “NJIA PANDA”,

Omary Clayton, alisoma yake huko Tanga na badae kujihusisha na sanaa kwa muda mrefu sasa alianza tangu alipokuwa mdogo ana miaka kumi na nne mwaka 2005. akajiunga kwenye kikundi cha maigizo miaka hiyo ya 2005 pia na kucheza michezo ya runinga kadhaa hapo iliyorushwa kwenye vituo vya television kama ITV kupitia kundi hilo hilo moja lijulikanalo kwa jina la kundi maarufu sana hapo Dar es salaam na Tanzania nzima kwa ujumla ‘‘KAOLE SANAA GROUP’’ lenye makao makuu hapo Magomeni Mikumi.

Omary Clayton, baada ya kuwa karibu sana na makini zaidi na mchakato mzima wa utayalishaji na uzalishaji filamu kwa miaka kadhaa akaijikuta tasnia inamvuta kwa karibu pia na kumwekea mazingira mazuri na kumwandaa Omary kuwa mchezaji mzuri ,mwandishi mzuri wa hadithi na miswada ya filamu mpaka sasa.na ndiyo kazi yake apendayo kwa sasa ndani ya kampuni ya TIMAMU EFFECTS. hupenda kazi yake zaidi kwani muda mwingi hujawa na kui kubwa zaidi ya kufanya vizuri kila siku hasa kajiwekea malengo ya kuongeza bidii kila afanyapo kazi mpya yenye ubora na mvuto zaidi ya kazi iliyopita.. 

Filmography / Discography


External Links

  • Facebook Page of Omary Clayton
  • Twitter Page of Omary Clayton
  • YouTube of Omary Clayton
  • Website of Omary Clayton
 
 
 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More