Home » Casts » Emmanuel Myamba
Emmanuel Myamba
Other Name/s: Emmanuel Peter Myamba a.k.a Pastor Myamba
Actor | Director
Emmanuel alisoma Jitegemee High School na baadaye aliingia katika sanaa ya kuigiza katika filamu kama mchungaji na aliweza kujipatia sifa kem kem kama mchungaji wa ukweli, na anasema Mungu amemsaidia na kuweza kucheza filamu mbalimbali akiwa kama pastor au mchungaji wa kweli.
Pastor Myamba alifungua chuo cha mambo ya uigizaji wa filamu linachoitwa Tanzania Film Training Center na vilevile kampuni ya utengenezaji wa filamu iitwayo Born Again Film Company inayotengeneza na kusambaza filamu
Filmography / Discography
- Gods Kingdom |
- The Spirit of Miss Marry |
- Pasuko la Moyo |
- Dangerous Forest |
- Pamoja |
- My Man |
- Cheque in the Bible |
- The Promise of Pain |
- Queen Spear |
- Campus |
- Pastor Myamba, the Trial |
- Ray of Hope |
- Bad Saturday |
- Shoga Yangu |
- Moses |
- Pastor Myamba Temptation |
- Saturday Morning |
- White Maria |
- Msukule |
- My Pastor |
- This Is It |
- From China With Love |
- Last Minutes |
- Penina |
- Fake Pastors |
- Dar 2 Lagos |