Jane's Journey

Home » Casts » Richard Mshanga ‘Masinde’


Richard Mshanga ‘Masinde’

Other Name/s: Richard Mshanga 'Bosi Masinde'

Actor

Richard Mshanga ‘Bosi Masinde’

Richard Mshanga 'Bosi Masinde'

Masinde ambaye awali aling’ara na Kundi la Shirikisho Msanii Afrika la jijini Dar es Salaam, alitwaa Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume (2012 – 2013) iliyotolewa na Zanzibar Film Festival ‘ZIFF’ ambayo mwaka 2012 uliopita ilikuwa inashikiliwa na JB

Kundi la Shirikisho Msanii Afrika ambalo lilikuwa linaonyesha michezo yale katika kipindi cha ITV, lilitamba na michezo kama ‘Tamu Chungu’, ‘Gumbizi’, ‘Hatia’, ‘Dumaza’ na mingine huku likiwaibua mastaa wa sasa wa filamu nchini kama akina Amanda, Mama Kawele, Bakar Makuka, Aunty Ezekiel, Nyatawe na wengineo.

Filmography / Discography


External Links

  • Facebook Page of Richard Mshanga ‘Masinde’
  • Twitter Page of Richard Mshanga ‘Masinde’
  • YouTube of Richard Mshanga ‘Masinde’
  • Website of Richard Mshanga ‘Masinde’
 
 
 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More