Snura Mushi
Other Name/s: Snura Anton Mushi
Actor
Snura Anton Mushi. Mwanadada huyu alizaliwa mwaka 1984 katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam ambapo mwaka 1991 alianza safari yake ya masomo katika Shule ya Msingi Yombo Vituka jijini Dar es Salaam.
Alipomaliza darasa la saba hakuendelea kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wake.
Mwaka 2006 aliaanza kazi ya usanii katika filamu ya Mfalme Seuta iliyo directiwa na Director’ wa Mwananchi Production anayeitwa Gumbo Kihorota na baadaye alicheza filamu kama Zinduna na Hitimisho. Mwaka 2007 alijiunga na Tuesday Kihangala ‘Mr. Chuzi’ ndipo nikajiunga na Jumba la Dhahabu na nyinginezo
Filmography / Discography
- Fundo la Karne |
- Wrong Touch |
- Nafsi |
- Mimba |
- Limbwata |
- Ni Kosa Langu |
- Jumba la Dhahabu Season 1 |
- Dikteta |
- Sabra |
- Almasi ya Damu |
- Ikwizu |