Jane's Journey

Home » Casts » Elizabeth Gupta


Elizabeth Gupta

Actor | Model

Elizabeth Gupta

Elizabeth Gupta-Pam: Ilikuwa ni BBA4 a.k.a THE REVOLUTION mwaka 2009 na mwadada tena akawakilisha ndani ya Jumba hilo ambapo alikuwa mshindani wa 17 kutolewa baada ya kula bata ndani ya Jumba kwa siku 63….. Sifa moja ya huyu Dada (Queen) nikwamba alifanya poa na aliwakilisha vizuri mjengoni na wengi walitarajia atafika mbali ukilinganisha na washiriki wote wa kike

Kwa hivi sasa Elizabeth ameolewa nchini Nigeria na anacheza katika movie na mojawapo inayokwenda kwa jina la THE CARTEL ambayo imewashirikisha wasanii mbalimbali kutoka Naija, Ghana, South Africa na Tanzania ambaye yeye Elizabeth ndio anatuwakilisha. Na nimeambiwa wasanii wenye majina makubwa waliocheza ni pamoja na Mike Ezuruonye, Martha, John Njamah na Luclay ambaye alikuwa BBA.

Filmography / Discography


External Links

  • Facebook Page of Elizabeth Gupta
  • Twitter Page of Elizabeth Gupta
  • YouTube of Elizabeth Gupta
  • Website of Elizabeth Gupta
 
 
 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More