Jane's Journey

Home » Casts » Upendo Nkone


Upendo Nkone

Actor | Singer | Song Writter

Upendo Nkone

Upendo Nkone ni mwimbaji maalum wa kisasa Tanzania. Anaimba nyimbo za Mungu na sauti kubwa sana na kwaya yake wanaweza vizuri kumsaidia. Nkone alizaliwa sehemu ya Kigoma ingawa alipokuwa mtoto akahama mjini Dar es Salaam ambapo akalelewa. Sasa hizi, yeye ni mjane na ana watoto wawili. Nyimbo zake nyingi zinawaambia wajane, mayatima na wengine walio na matatizo kujipa moyo na kusonga mbele kwa furaha kwa sababu Mungu anawalinda. Ametunga nyimbo za kutosha kujaza albamu mbili na zote ni nzuri sana. Hasa nyimbo hizi ‘Usifurahi juu yangu’ na ‘Upendo wa Yesu’ zinapendwa sana na WaTanzania. Ndiyo maana yeye ni shujaa wa muziki ya injali ya sasa hizi.

Katika mwaka wa 2010 Upendo Nkone alitaja kuwa ataolewa tena. Vilevile, nyimbo mpya zinapatikana kama hizi ‘Usinipite bwana’ na ‘zipo faida’. 2012.

Filmography / Discography


External Links

  • Facebook Page of Upendo Nkone
  • Twitter Page of Upendo Nkone
  • YouTube of Upendo Nkone
  • Website of Upendo Nkone
 
 
 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More