Home » Drama, Spiritual, » The Glory of Ramadhan
Hakika ya funga ni yangu mimi, na mimi najua namna gani nimlipe kwa funga hiyo mfungaji ameacha matamanio yake na chakula chake, kwa ajili yangu. Mfungaji anafuraha mbili, ya kwanza wakati wa kufutari na nyengine wakati anapokutana na Mola wake… Fatilia kisa hiki
Cast: Vincent Kigosi; Nesh Mohamed (Batuli); Abdallah Khamis; Chuchu Hans, Abdallah Khamis ‘Dulla’ ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na EATV na wengineo. Mohamed Fungafunga, Stanley Msungu, Lucy Sylvester, Abdala Ambua, Hidaya Hamisi
Story by- Vincent Kigosi; Directed by- Vincent Kigosi; Produced by- Blandina Chagula; Script- Ally Yakuti; Producer- Blandina Chagula; Light- Steven Shoo; Executive Producer- RJ Company; Production Manager- Blandina Chagula; Camera- Farid Uwezo; Make-up by – Mwasiti Mohamed; Sound- Man Barghash Saidi; Written by- Ally Yakuti.
Filamu hiyo inazungumzia mambo mbalimbali yahusuyo mwezi mtukufu wa Ramadhani, ambapo pia imejaa mafunzo ya kutosha kuhusu mwezi huo ambao ni sehemu ya nguzo tano za Uislamu.
“Hii filamu inahusu mwezi mtukufu wa Ramadhan lakini ndani yake ina mafunzo mbalimbali.
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|