Jane's Journey

Home » Casts » Blandina Chagula


Blandina Chagula

Other Name/s: Blandina Chagula

Date/s: 27 July 1983

Actor | Producer

Blandina Changula (Johari) (amezaliwa tar. 27 Julai, 1983 mkoani Shinyanga, Tanzania ni muigizaji wa vipindi vya telesheni na filamu nchini Tanzania.

Blandina Chagula

Blandina Chagula (Johari) (amezaliwa tar. 27 Julai, 1983 mkoani Shinyanga, Tanzania ni muigizaji wa vipindi vya telesheni na filamu nchini Tanzania.

Maisha ya Mwanzo
Blandina alipata elimu ya msingi katika shule ya Bugoyi mwaka 1990 hadi 1997 na kujiunga katika shule ya sekondari ya kutwa ya Buluba iliyopo Shinyanga mwaka 1998 hadi 1999.

Akiwa kidato cha pili alihamishiwa katika shule ya bweni ya Kanawa hukohuko mkoani Shinyanga mwaka 1999 hadi 2000 na mwaka huo huo baada ya kuingia kidato cha tatu akahamishiwa tena jijini Dar es Salaam katika shule ya Greens iliyokuwa maeneo ya Temeke kabla ya kuhamishiwaUbungo shule ambayo alimalizia kidato cha nne hiyo ilikuwa mnamo mwaka 2001.

Blandina Chagula anatokea kundi la Kaole Sanaa Group, ni kundi ambalo linafahamika sana nchini Tanzania kwa kutoa nyota wengi wa uigizaji, Blandina nae ni mmoja kati ya nyota hao, wengine ni Steven Kanumba, Vincent Kigosi( Mr Ray ), Tea na wengine wengi tu kutoka Kaole Sanaa Group.

Filmography / Discography


External Links

  • Facebook Page of Blandina Chagula
  • Twitter Page of Blandina Chagula
  • YouTube of Blandina Chagula
  • Website of Blandina Chagula
 

More Photos

 
 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More