Jane's Journey

Home » Casts » George Tyson


George Tyson

Other Name/s: George Tyson

Director | Producer

George Tyson

George Tyson. ni Muongozaji wa Filamu Nchini Tanzania George Tyson Mwenye Asili ya Kenya anaye fanyia shughuli zake nchini Tanzania amejizolea Umaarufu Mkubwa nchini Tanzania kwa Kuongoza baadhi ya Filamu za Kitanzania na hizo Filamu ya kwanza ni Girl Friend na Dilema, Jamaa ana mtindo wa kipekee kwenye Filamu ambazo yeye anongoza mara nyingi huweka watu wazito kivipi. yaani yeye hufanya kazi na wasanii wa Bongo Flava au Wabunge au Watangazaji hapo tu ndo amekuwa tofauti na waongozaji wengine wa Filamu.

Tyson amesimamia na kuongoza documentaries mbalimbali ikiwemo ile ya Mtandao wa Jinsia Tanzania: TGNP : katika mchakato kuelekea usawa wa kijinsia Tanzania : inakuletea : maadhimisho ya Miaka Kumi katika harakati ya kupigania usawa wa kijinsia / Yvones Productions presents a George Tyson documentary / mwabdishi, George Tyson ; muongozaji George Tyson na Hivi Karibuni amekuwa akisimamia kipindi cha Mboni Show kinachorusha na EATV

Filmography / Discography


External Links

  • Facebook Page of George Tyson
  • Twitter Page of George Tyson
  • YouTube of George Tyson
  • Website of George Tyson
 
 
 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More