Jane's Journey

Home » Casts » Ummy Wenceslaus ‘Dokii’


Ummy Wenceslaus ‘Dokii’

Other Name/s: Ummy Wenceslaus ‘Dokii’

Actor | Singer | Song Writter

Ummy Wenceslaus ‘Dokii’

Msanii nyota wa muziki na filamu, Ummy Wenceslaus ‘Dokii’

Dokii, pia ni muimbaji wa muziki wa Injili amewahi kutamba na filamu kama Yoland, Hard Love Moro, Bad Friend, My Nephew, Lonely Heart, Money Transfer, Scandal na nyinginezo.

Kwa muda mrefu msanii huyo alikuwa wakiwachanganya mashabiki wake wakidhani ni Mkenya kutokana na kupenda kwake kuigiza lafudhi ya taifa hilo, ingawa ukweli yeye ni mwenyeji wa mkoa wa Morogoro.

Filmography / Discography


External Links

  • Facebook Page of Ummy Wenceslaus ‘Dokii’
  • Twitter Page of Ummy Wenceslaus ‘Dokii’
  • YouTube of Ummy Wenceslaus ‘Dokii’
  • Website of Ummy Wenceslaus ‘Dokii’
 

More Photos

 
 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More