Jane's Journey

Home » Casts » Jennifer Kyaka


Jennifer Kyaka

Other Name/s: Jennifer Kyaka 'Odama' / Jenifa Kyaka

Date/s: 08 August 1983

Actor | Film Writer | Producer

Jennifer Kyaka (Odama) ni mwigizaji, producer wa filamu nchini Tanzania na ni mkurugenzi wa kampuni ya J-Film 4 Life iliyoko Biafra Kinondoni Dar es Salaam.

Jennifer Kyaka 'Odama'

Jennifer Kyaka a.k.a Odama mzaliwa wa pande za Kagera. Alizaliwa Agositi 8,1983 na shule ya msingi alisoma Kienzya iliyopo Kigoma mjini na baadaye Sekondari ya Minja iliyopo Ugweno, Moshi

Mwaka 2006 licheza filamu yeke ya kwanza kwa jina la Shumilleta iliyoandaliwa na Mussa Banzi.

Filimu ambazo ameaanda mwenyewe ni Broken Promise, The end of Love na The Avenger.

J-Film ni kampuni ya filamu iliyoanzishwa mwaka 2010 ikiwa imedhamiria kutengeneza filamu nchini na nje ya Tanzania kwa viwango vya kimataifa. J-Film 4 Life inazingatia kile mteja anakitaka hasa katika suala la muda (deadline), ubora wa picha (quality) na sauti (sound), vinakuwa katika viwango vya juu.

J-Film 4 Life imeweka kipaumbele sana suala la ujumbe unaotolewa na waingizaji kuwa haupotoshi jamii na badala yake unaelimisha, adibisha, fundisha na kumfikia msikilizaji na mtazamaji ipasavyo. Kama Mkurugenzi wa J-Film 4 Life, ninapenda sana kufanya kazi na wasanii wa aina yoyote na mahali popote.

Filmography / Discography


External Links

  • Facebook Page of Jennifer Kyaka
  • Twitter Page of Jennifer Kyaka
  • YouTube of Jennifer Kyaka
  • Website of Jennifer Kyaka
 

More Photos

 
 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More