Jane's Journey

Home » Casts » Yvonne Cherryl


Yvonne Cherryl

Other Name/s: Yvonne Cherryl Lewis a.k.a Mona Lisa

Date/s: 19 August 1981

Actor | Director

An award-winning actress and director whose eyes peer directly into the souls of audiences on screen.

Yvonne Cherryl Lewis "Mona Lisa"

From an early age, Yvonne CherryL exhibited a talent and propensity for the arts; while in school, she began her career, appearing in commercials and productions at a stage company

Yvonne began acting in Kenya & Tanzania professionally around the age of 16, though she studied filmmaking at the famous Wilnag Film institute, the prospect of becoming an actress was always her dream.
Her 1998 powerful performance as a young lady struggling to reconcile her life with her multiple lovers, in the acclaimed series “Mambo Hayo” where she got her nickname “Mona Lisa”

The beautiful, Yvonne then resumed acting, appearing in a major role in the stage play Government inspector “2001 followed by “Zawadi Ya Ushindi” in 2002 before resuming her feature film career”.

Yvonne’s screen charisma was obvious at herfeature screen debut “Girlfriend.” (2002), where she played Tumpale who is forced to turn to her life around after being kicked out by her dad for seducing the maid against theirpro-xtian ideals

Filmography - (WASIFU WAKISANAA)
- Black Sunday ,Filamu iliyompatia tunzo ya msani bora tanzania mwaka 2010 kutoka ZIFF.
- Binti Nusa 2 & 3—-2011 Filamu Central Award Best Actress in Tanzania. A CCL Production na zifuatazo;
- Payback
- Nimeokoka
- Cellular
- Wrong Number
- Wedding Pressure
- Behind The Scene
- Who is Smarter
- She is My Sister aliyoigiza na mmoja ya masta wakubwa toka naija, Mercy Johnson chini ya mwogozaji (Director) - Femi Ogedegbe toka Nollywood
- Dilemma
- Sabrina
- Girlfriend
- Pastor Myambas Trial
- “38 Weeks”
- Tell Me The Truth

Directorial Credits
Kaburi 1. ……………………………...2007
Chanzo Ni Mama …………...……....2007
Binti Nusa 1. ………..……..….........2008
Where is God..……..………………..2009
Binti Nusa 2 &3…………................2010 - One of ZIFF 2011 Swahili feature Films.

* KWA ASILIMIA NYINGI MSANII MZURI HUPASWA KUCHEZA MICHEZO YA JUKWANI PIA, KITU AMBACHO KINAMWONESHA MSANII KUKUA KISANA ZAIDI, KWA UPANDE WA YVONNE CHERRYL AMEFANIKIWA KUSHIRLKI MICHEZO YA JUKWAANI IFUATAYO;

Stage Plays
A Man of The People————————- Kenya National Theatre (Nairobi, Kenya)
Dont Dress For Dinner——————— Russian Cultural Centre (Tanzania)
The Song of Lawino————————— Little Theatre (Tanzania)
Zawadi ya Ushindi—————————— ZIFF (ZANZIBAR
The Govt Inspector——————————Bagamoyo Art Festival

TV Commercials
MATANGAZO YA KIBIASHARA ALIYOWEZA KUFANYA MPAKA SASA

Heineken————————————————- 2001
Assas Diary Milk——————————- 2002
Comfy———————————————————2010

Awards
TUNZO MBALI MBALI ALIZOFANIKIWA KUPATA
- Nigeria Entertainment Awards——- Best Pan African Actress Nominee, Sep. 2011 New York, USA
- Zanzibar Int Film Festival——Best Tanzania Actor 2010
- Filamu Central.———- Best Tanzania Actress 2010
- KIU Media——- Queen of Bongo Films 2008

NA TUNZO KUBWA NA MUHIMU SANA KWENYE MAISHA YAKE YA KISANAA NI HII AMBAYO HIVI KARIBUNI ATAKABIDHIWA YA HESHIMA KUBWA YA KUITANGAZA TANZANIA VIZURI NCHI YETU KIMATAIFA IJULIKANAYO KWA JINA LA TANZANIA WALK OF FAME 2011 ILIYOANDALIWA NA GLOBAL PUBLISHERS.

Interests:
Yvonne cherryl mbali na maisha ya kisanaa hupendelea kutimiza wajibu wake kama mzazi,kusafiri, kupika, kutizama televisheni na kubadirishana mawazo na watu awapendao, alizawaliwa mwaka 1981 tarehe kumi na tisa 19 mwezi wa nane nchini Tanzani ndani ya Afrika Mashariki na ana mchumba kwa sasa.

KIPINDI AMBACHO KAMWE HATAKISAHAU NDANI YA MAISHA YA UIGIZAJI
(Milestones)
1. Ushiriki wake kwenye Tamthilia ya Mambo Hayo aliyocheza kama Mona Lisa mwaka 1998
2. Ushiriki mwingine kwenye filamu iliyofanya vizuri sana kwenye miaka ya mwanzo ya 2002 iliyoitwa ‘‘Girl friend’‘
3. Kuongoza na kucheza uhusika mkuu kwenye filamu aliyocheza na watu anaowaheshi sana ,mama yake mzazi Susan Lewis na Hashimu Kambi filamu ya Binti Nusa sehemu ya kwanza. mwaka 2008
4. Kushiriki kama mhusika mkuu wa pili kwenye filamu ya nimeokoka ambayo ilikuwa katika nyanja ya kidini na ilimpatia sifa nyingi sana toka kwa kundi la dini .kwa kile alichokifanya ..
5. Mwaka 2010 akaimarisha nguvu kisanaa pamoja na mama yake na kuandaa Binti Nusa sehemu ya pili na ya tatu ambayo aliaanda na kuiongoza pia
6.  aliweza kuandaa kipindi cha luninga cha ‘‘Bongo Movies’‘
7. kikubwa zaidi alipata nafasi ya kushiriki kwenye moja ya filamu iliyotayarishwa na watarishaji kutoka Hollywood inayoitwa Bleeding Sunshine ambayo imetayarishiwa nchini Ghana mwaka 2011

Yvonne cherryl kwa sasa ni mwongozaji wa filamu kwenye moja ya kampuni za uzalishaji filamu hapa nchini Cherrie Company Ltd (CCL).

Kwa mawasilano na namna ya kumpata mwigizaji huyu;
Cherrie Company Ltd (CCL),Tanzania - ceo.cherriecoltd@gmail.com

Filmography / Discography


External Links

  • Facebook Page of Yvonne Cherryl
  • Twitter Page of Yvonne Cherryl
  • YouTube of Yvonne Cherryl
  • Website of Yvonne Cherryl
 

More Photos

 
 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More